‘Nani’ lyrics

A drawing of Diamond Platnumz: ‘Nani’ hit maker.

[Into (A bell rings!)]
Old man: “Wanafunzi, leo tunamtambulisha
Mwalimu mpya”
Pupils: “Yeeee! (Claps!)”

(TBT instrumental begins!)
Aiyoo…,oh
Zombie wee
Zombie wewe
Oh, Zombie yoo!
{S2Kizzy Baby}

[Verse 1]
Wanaosema “wamekuzidi”, wamemzidi who?
Labda kuuza vi-BP na nyingi tattoo
Si wakuonjwa, kumezwa labda watemwe tuu!
Wivu, ugonjwa, vienekeza vimeshushuka shuu!

[Verse 2]
We ndo my Bolingo, akibinda n’ko hoi
Ukin’fanyia maringo, aki sitoboi
Kawe dereva mi utingo, penzi letu lori
Niendeshe kwa maringo tusivamie pori

[Pre-Chorus]
Mi hapo peke yangu mimi, ukivaa kimini
Siwezi nyanyuka, aibu natunaga chini
Sa toto ndo nini, kunishitua injini?
Kama unanipa, nipe mi sipendi kudundishiwa chini

[Chorus]
We bwana we, niende kwa nani asa, niende asa
Niende kwa nani asa, niende asa (Niende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Niende, ni dede)
Niende kwa nani asa, niende asa

(Instrumental Break)
Lala, lala, lala

[Verse 3]
Embe dodo, embe dodo, (Eh!) nimelala mchangani (Ah!)
Nimeoza si kidogo, niko hoi-tafrani
Iwe huba au virobo (Eh!), kazi kwenu kina nyani (Ah!)
Maana hamnaga dogo, kwani kuna jipya gani?

[Hook 1]
We ndo my Bolingo, akibinda n’ko hoi
Ukin’fanyia maringo, aki sitoboi
Kawe dereva mi utingo, penzi letu lori
Niendeshe kwa maringo tusivamie pori

[Hook 2]
Mi hapo peke yangu mimi, ukivaa kimini
Siwezi nyanyuka, aibu natunaga chini
Sa toto ndo nini, kunishitua injini?
Kama unanipa, nipe mi sipendi kudundishiwa chini

[Post-Chorus]
We bwana we, niende kwa nani asa, niende asa (Oh, niende, ni dede)
Niende kwa nani asa, niende asa (Niende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Oh, eti nikuache wewe)
Niende kwa nani asa, niende asa

[Outro (Song’s TBT instrumental ending!)]


Leave a comment